Diwani wa kata ya Songwe Ayasi Njalambaha akimkabidhi cheti mmoja wa maskauti waliohitimu mafunzo ya miaka miwili kambo ya Songwe Magerez...
MAGUFULI AJAZA KIPORO CHA MAWAZIRI WANNE WALIOSALIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri ...
WACHINA WA PEMBE ZA FARU WALIONASWA MBEYA WAPIGWA MVUA 20
Washtakiwa wa kesi ya kukutwa na nyara za serikali pembe za Faru, raia wa China wakiwa nje ya mahakama ya Hakimu Mkazi mfawidhi mkoa wa M...
BARAZA LA MAWAZIRI LA MAGUFULI HILI HAPA, SURA ZA ZAMANI ZATAWALA, NAPE AULA WIZARA YA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam ...
CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA UTALII NA UWEKEZAJI CHAUNGWA MKONO NA WCS & USAID
WCS chini ya msaada wa USAID imedhamini na kuunga mkono jitihada za Chama Cha Waandishi wa Habari za Utalii an Uwekezaji Tanzania (TAJATI...