Ads (728x90)

Baadhi ya wanahabari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI) wakiwa katika eneo maarufu la utalii wa maparachuti(VIEW AREA) wakati wa ziara yao wilayani Chunya wiki iliyopita

Wanatajati wakiwa katika Jabali maalumu lililopo kando kando mwa barabara ya Chunya kuelekea Tabora linalotumiwa na wanyama wakali kwa ajili ya kuotea jua
Zaira ya wanatajati iliendelea na kuingia katika mji wa Makongolosi


Hatua moja! mbili!! tatu!!! nne!!!! tano!!!!!
 

Ilikuwa ni utalii murua kabisa waliruka juu kama Ndege na kutua kama ninja lilikuwa zoezi zuuri sana!!
Njiani wanatjati walikutana na wadau na wananchi mbalimbali ambao mbali na kufanya biashara ndogondogo walitoa hisia zao juu ya mazimgira mazuri ya barabara ya Mbeya-Chunya kuwa katika kiwango cha lami ambayo imewarahisishia shughuli zao.

Mahindi mabichi ya kuchemsha ilikuwa ndio kifungua kinywa kwa asubuhi hiyo
 

Kijijini Kalangali wanatajati walipata kitoweo murua cha nyama ya Mbuzi
  
Mandhari ya barabara ya Chunya -Mbeya kama inavyoonekana kwa juu









Safari ya wanatajati iliwafikisha kwenye ofisi za Halmshauri ya wilaya ya Chunya










Ndani ya Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Chunya
  



Mkuu wa wilaya alikuwa katika shughuli nyingine za kijamii

Hata hivyo Kaimu Ofisa Tawala alichukua nafasi ya kuzungumza machache na wanatajati




 
Kaimu Ofisa Tawala wa wilaya ya Chunya Amimu Mwandelile akizungumza na waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI) walipofika kwenye ofisi za Mkuu wa wilaya ya Chunya.
 



Post a Comment