Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla alipokuwa akifungua kikao cha wadau wa Ardhi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ukumbi wa Mkapa jana mchana |
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akichangia hoja kwenye mkutano wa wadau wa ardhi uliofanyika kwenye ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya jana |
Mkuu wa wilaya ya Songea Benjamin Mpesya akichangia hoja kwenye kikao cha wadau wa ardhi kwenye mkutano uliowashirikisha wadau wa ardhi kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini jana |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya afungua mkutano wa kutoa maoni kuhusu
sera ya Ardhi ya mwaka 1995. Mkutano umehusisha wadau mbalimbali wakiwemo wakuu
wa mikoa, mameya, wakurugenzi na wataalaam ardhi mikoa ya Iringa,Njombe Mbeya, rukwa,
Ruvuma na Katavi
Post a Comment
Post a Comment