Ads (728x90)

DJ Imma Boy akining'inia juu mnarani kama Kunguru akitishia kujiua kutokana na madai yake ya kudai mshahara wake.







DJ WA RADIO BOMBA FM MBEYA ATOA KALI YA MWAKA
Ni Dee Jey Imma Boy
-Apanda juu ya Mnara na kudai mshahara
-Atishia kujiua kwa kuruka chini
-Aharibu mitambo
- Matangazo yazima kwa saa 6
- Aswekwa Lupango
- Afunguliwa kesi 3 ya kutaka kujiua, wizi na kufanya vurugu
MB/RB/136/7016( PICHA ZA TUKIO KWA HISANI YA BLOGU YA MR PENGO)

Post a Comment

Post a Comment