Unakumbuka unyama huu?
Hii ndiyo hali ilivyokuwa wakati wa utawala wa Sajent Samuel Doe nchini Liberia ambaye alitawala nchi hiyo kimabavu kuanzi mwaka 1980 hadi mwaka 1990 alipouliwa na wafuasi wa Charles Tailor hata hivyo Doe alitwaa madaraka kinguvu kutoka kwa mtangulizi wake William Torbet jr aliyeongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 1971 hadi mwaka 1980 alipong'olewa na Doe, Naye Torbert alirithi madaraka kwa mtangulizi wake William Tubman ambaye aliongoza nchi hiyo kuanzia mwaka 1944 hadi mwaka 1971 alipomuachia Torbert.pichani ni marais hao kuanzia juu Rais Tubman anayefuatia ni Rais Torbet na wa mwisho chini ni Sajent Samwel Doe katika noti za nchi hiyo kulingana na wakati wa utawala wao.
Hakika kwanza nakupongeza kwa kumbukumbu nzuri na pia nakupongeza kwa kutupa habari iliyosaulika.
ReplyDeleteNachoweza kusema habari haizeeke inaweza kutumika miaka kumi ijayo bado ikawa ni habari ya kihistoria hongera kazi nzuri kamanda