Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi katika kijiji cha Lufilyo wilayani Rungwe katika ziara yake ya mkoani Mbeya jana.
Ziwa lenye historia ya maajabu
Ziwa hili maarufu ambalo pia ni kivutio cha utalii lililopo kilomita kadhaa mashariki mwa wilaya ya Rungwe,linaelezwa na wenyeji wa eneo hil...
Wabunge wa Mbeya wakijadili jambo
Baadhi ya Wabunge wa jamhuri la Muungano wanaowakilisha mkoa wa Mbeya kutoka kushoto ni Mbunge wa Kyela Dkt. Harrison Mwakyembe,Mbunge wa vi...
Rais Kikwete nyumbani kwa Profesa Mwandosya
Umati wa wakazi wa kijiji cha Lufilyo nyumbani kwa Profesa Mark Mwandosya wakishangilia ujio wa Rais Jakaya Kikwete pichani katika ziara yak...
Huu ndio Mpaka wa Tunduma
Huu ndio mpaka wa Tunduma unaotenganisha nchini mbili za Tanzania na Zambia, pilika za mji huu zinafanana kabisa na harakati za kila siku...
SMZ YADAIWA KUTAKA KUHUJUMU UCHAGUZI 2010
SMZ yadaiwa kupanga kuhujumu ushindi wa CUF -Yadaiwa safari hii mbinu imeelekezwa kuzuia uandikishaji daftari la kudumu Na,Rashid Mkwinda,Za...
Safari ni Safari Bora salama
Kila siku tunaamini safari ni safari, iwe kwa miguu, iwe kwa baiskeli, iwe kwa Vespa, iwe gari,Jahazi,Motaboti, mtumbwi, Meli, Gari, Ndege,...
Kumekucha Kyela
Huyu ni Sambwee Shitambala wakili mahiri wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA naona sasa kumekucha hapa ni Kyela katika jimbo la Dkt...
DAFTARI LA KUDUMU NA KASORO ZAKE VISIWANI
DOSARI UANDIKISHWAJI VISIWANI NINI KIPO NYUMA YA PAZIA. Na, Rashid Mkwinda. ALFAJIRI ya Jumamosi Septemba 16 nilikuwa ni miongoni mwa ab...
Mandhari Tulivu na Upepo Mwanana Kisiwani Unguja
Nikiwa katika mandhari tulivu yenye upepo mwanana wa katika Ufukwe wa bahari ya Hindi kisiwani Unguja.Unguja ni Njema Atakaye na Aje, Raaaah...
Majumba ya Kale Hatarini Unguja
Ujenzi wa majumba haya maarufu katika mtaa wa Malindi na Mji Mkongwe visiwani yakiwa katika hali ya kuteteleka kutokana na uchakavu unaotoka...
Pilika pilika Darajani Unguja
Baadhi ya wakazi wa Visiwani Unguja wakiwa katika harakati zao za kila siku katika soko maarufu la Darajani mjini Unguja, hali hii ni ya kil...