Mandhari Tulivu na Upepo Mwanana Kisiwani Unguja
Nikiwa katika mandhari tulivu yenye upepo mwanana wa katika Ufukwe wa bahari ya Hindi kisiwani Unguja.Unguja ni Njema Atakaye na Aje, Raaaaha Mustaarehee..Burudaaani Kabisa nani anasema Unguja kuna purukushani, purukushani za Unguja huanzishwa na watu wa Bara wenyewe ni wakarimu na watulivu, hula pamoja, huingia misikitini pamoja na hata mazungumzo yao ni mamoja, tena ukichunguza zaidi takribani wote ni wanandugu, huyu kaoa mtoto wa yule na yule kaoa mtoto wa huyu, Binamu kamuoa binamu mwenzie...ugomvi wa huku unachochewa na wengine si wao asilani!!!!
Post a Comment