Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akimpokea Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara alipowasili uwanja wa ndege wa Mbeya leo asubuhi. Mkuu wa shule ya sekonda...
KANDORO AWAZURU WAHANGA WA MOTO TUNDUMA NA KUWAFARIJI
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro alipowazuru wahanga wa moto Tunduma na kuwafariji
MOTO WATEKETEZA SOKO TUNDUMA
(Eneo la soko la Tunduma lililopo mpakani mwa Tanzania na Zambia likiteketea kwa moto majira ya saa 11:30 jioni kutokana na chanzo kinachoel...
Mawaziri wakuu waliopita na harakati zao za Uhuru miaka 50
Hayati Mwalimu Julius Nyerere akiwa na Waziri mkuu wa enzi hizo Hayati Rashid Mfaume Kawawa katika harakati mbalimbali za Uhuru wa nchi yet...
DUU MAKUBWA HAYA TENA YA KUONGEZA NGUVU!!!
Dawaza nguvu za kiume kwa anaye taka Haya Tena kwa wale wanaotaka Dawa ya nguvu za kiume wawasiliane na mimi kwa nji...
VIONGOZI WA DINI WAMWEKA MEYA WA JIJI LA MBEYA KIKAANGONI
Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Mbeya wameibuka na kumtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Abbas Kandoro kumwajibisha Meya wa Jiji la Mbeya ...
ALIYEUAWA KATIKA VURUGU ZA WAMACHINGA AZIKWA LEO
Vilio na majonzi vilitawala katika maziko ya kijana Kevin Mwa;lingo mwendesha bodaboda ambaye aliuawa wakati wa vurugu za wamachinga na ask...
WAKATI JIJI LA MBEYA LIKIWA VITANI KANDORO ALIKUWA AKIWATUMIKIA WANANCHI VIJIJINI
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akizungumza na waandishi wa habari juu ya miradi mbalimbali ya kijamii alipotembelea vijijini wakati huo huo Jijini M...
SUGU ATULIZA HASIRA NA MZUKA WA MACHINGA MBEYA,DC AZOMEWA
Vurugu za wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga zilizotawala kwa takribani siku mbili ambao walikuwa wakipambana na vikosi vya aska...