Ads (728x90)

Christian Mwakyembe(68) enzi za uhai wake
Mwandishi wa habari wa gazeti la Raia Mwema Felix Mwakyembe akiwa na watoto wa marehemu kaka yake mara baada ya kuwasili kijijini Ikolo wilayani Kyela  kwa ajili ya mazishi.
Baadhi ya waandishi wa habari wa Chama cha Waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI) wakiwa wameubeba mwili wa marehemu Christian kwa ajili ya ibada nyumbani kwao kijiji cha Ikolo Kyela mkoani Mbeya.
Waandishi wa habari (TAJATI)wakishusha mwili wa Christian Mwakyembe kwenye nyumba yake ya milele kijijini Ikolo Kyela mkoani Mbeya.
Waandishi na wanachama wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI)wakimfariji mwanachama mwenzao Felix Mwakyembe ambaye amefiwa na kaka yake.
Mwandishi Venance Matinya akiliweka vizuri jeneza la mwili wa marehemu Christian baada ya kushushwa kaburini
Mwandishi wa habari Festo Sikagonamo akisaidia kutoa huduma ya kugawa chakula kwenye msiba wa Christian Mwakyembe kijijini Ikolo jana.
Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao jana

Dkt. Harrison Mwakyembe katikati akiwa na ndugu zake wakiweka shada la maua kwenye kaburi la kaka yao Christian Mwakyembe kijijini Ikolo Kyela jana.
Mke wa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipokea shada la maua kutoka kwa Dkt. Mwakyembe wakati wa mazishi ya kaka yake Dkt. Mwakyembe kijijini Ikolo jana.


Wanachama wa chama cha Waandishi wa habari za Utalii na Uwekezeji (TAJATI) wakimuaga mwanachama mwenzao Felix Mwakyembe baada ya mazishi ya kaka yake Kyela jana jioni.

Post a Comment