Ads (728x90)

 HIVI ndivyo alivyohitimisha umri wake wa miaka 51 tangu alione jua kwa mara ya kwanza Mei 2,1964, Fedrick Bakalemwa, mwandishi wa habari mwandamizi aliyekuwa akiwakilisha kampuni ya Sahara Media Group inayomiliki Televisheni ya Star Tv na Redio Free Africa mkoani Mbeya.
Ni vigumu kuamini, lakini ndivyo ilivyo alipangalo Mwenyezi Mungu ndilo liwalo, Bakalemwa, Kipenzi cha waandishi wenzie na jamii inayomzunguka hatunaye tena duaniani na kamwe hatuwezi kumuona tena hadi siku ya Parapanda.
Bakalemwa ambaye ametumikia kampuni hiyo inayomiliki vyombo vya habari tangu mwaka 2005 hadi umauti wake alitambulika kwa umahiri wake wa kazi za kijamii hususani ripoti mbalimbali alizoibua ambazo zilikuwa kero kwa jamii iliyopo pembezoni.
Mwandishi huyo wa habari ambaye alifariki usiku wa kuamkia jana nyumbani kwake Forest kutokana na maradhi yaliyotokana na jeraha dogo alilolipata siku chake katika mguu wake wa kushoto.
Bakalemwa ambaye ameacha mjane na watoto watatu alifariki usiku wa kuamkia Alhamisi Mei 14 na mwili wake kusafirishwa kijijini kwao Bushozi wilaya ya Bukoba mkoani Kagera ambako maziko yanatarajiwa kufanyika Jumapili Mei 17.

Post a Comment

  1. KAMI SEKELUARGA MENGUCAPKAN BANYAK TERIMA KASIH ATAS BANTUANNYA MBAH , NOMOR YANG MBAH BERIKAN/ 4D SGP& HK SAYA DAPAT (350) JUTA ALHAMDULILLAH TEMBUS, SELURUH HUTANG2 SAYA SUDAH SAYA LUNAS DAN KAMI BISAH USAHA LAGI. JIKA ANDA INGIN SEPERTI SAYA HUB MBAH_PURO _085_342_734_904_ terima kasih.الالله صلى الله عليه وسلموعليكوتهله صلى الل

    KAMI SEKELUARGA MENGUCAPKAN BANYAK TERIMA KASIH ATAS BANTUANNYA MBAH , NOMOR YANG MBAH BERIKAN/ 4D SGP& HK SAYA DAPAT (350) JUTA ALHAMDULILLAH TEMBUS, SELURUH HUTANG2 SAYA SUDAH SAYA LUNAS DAN KAMI BISAH USAHA LAGI. JIKA ANDA INGIN SEPERTI SAYA HUB MBAH_PURO _085_342_734_904_ terima kasih.الالله صلى الله عليه وسلموعليكوتهله صلى الل

    ReplyDelete