| Baadhi ya wanahabari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI) wakiwa katika eneo maarufu la utalii wa maparachuti(VIEW AREA) wakati wa ziara yao wilayani Chunya wiki iliyopita | 
| Wanatajati wakiwa katika Jabali maalumu lililopo kando kando mwa barabara ya Chunya kuelekea Tabora linalotumiwa na wanyama wakali kwa ajili ya kuotea jua | 
| Zaira ya wanatajati iliendelea na kuingia katika mji wa Makongolosi | 
| Hatua moja! mbili!! tatu!!! nne!!!! tano!!!!! | 
| Ilikuwa ni utalii murua kabisa waliruka juu kama Ndege na kutua kama ninja lilikuwa zoezi zuuri sana!! | 
| Mahindi mabichi ya kuchemsha ilikuwa ndio kifungua kinywa kwa asubuhi hiyo | 
| Kijijini Kalangali wanatajati walipata kitoweo murua cha nyama ya Mbuzi | 
| Mandhari ya barabara ya Chunya -Mbeya kama inavyoonekana kwa juu | 
| Safari ya wanatajati iliwafikisha kwenye ofisi za Halmshauri ya wilaya ya Chunya | 
| Ndani ya Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Chunya | 
| Mkuu wa wilaya alikuwa katika shughuli nyingine za kijamii | 
| Hata hivyo Kaimu Ofisa Tawala alichukua nafasi ya kuzungumza machache na wanatajati | 
| Kaimu Ofisa Tawala wa wilaya ya Chunya Amimu Mwandelile akizungumza na waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI) walipofika kwenye ofisi za Mkuu wa wilaya ya Chunya. | 
Post a Comment