Ads (728x90)

Naam kumepambazuka, mikataba mibovu na harakati za vyama vya upinzani kunani huko?KARAMAGI, Zitto Kabwe, ridhaa ya wapiga kura Bunge la Jamhuri ya Muungano mkataba wa Buzwagi nini kimejificha nyuma yake, siri iwazi wapinzani wanalonga,serikali inaoona?kulikoni Wadanganyika tumelalia masikio, nchi inateketea.....afanaaleik

Post a Comment

  1. maneno murua. Bora umerudi - masiku yamepita. Endelea kuandika kila unapopata wasaa.

    ReplyDelete
  2. Nashukuru kwa Big up naomba nitembelee kwenye www.mkwinda.wordpress.com utakuta mengine zaidi

    ReplyDelete