Ads (728x90)


Dada huyu mkazi wa Vwawa mjini Mbozi aliwaacha watu midomo wazi aliposafiri na kitimoto akiwa hai mgongoni ndani ya basi mithili ya mtu aliyembeba mtoto mgongoni, ilijulikana kuwa amebeba nguruwe pale aliposhuka kutoka ndani ya Basi.

Inaonesha kuwa hajui kama kuna tahadhari ya homa ya MAFUA ya ndege duaniani, yaani ni vituko kweli tena katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo kuna baadhi ya waumini wa madhehebu mengine wako katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao mnyama huyo kwao ni haramu kumla.

Post a Comment

  1. Hii kali kweli hata kama wanasema asiye na mwana aeleke jiwe hapa ndio mwisho kubeba nguruwe. Naomba hii picha nami niiweke pale kwangu.

    ReplyDelete
  2. Yawezekana kwa ambaye hajapata kuona ameona na yule ambaye amekuwa si mwepesi wa kuamini ameamini hakika hii ni hatari tena salama ,picha nzuri nimeipenda

    ReplyDelete