Ads (728x90)


Ujenzi wa majumba haya maarufu katika mtaa wa Malindi na Mji Mkongwe visiwani yakiwa katika hali ya kuteteleka kutokana na uchakavu unaotokana na ukale wa majumba hayo visiwani humo.

Hili ni miongoni mwa majumba ya kale yaliyopo Visiwani Unguja ambayo yako hatarini kubomoka iwapo jitihada za kuyalinda na kuyahifadhi zisipotekelezwa,asili ya majumba haya inaanzia enzi za utawala wa kifalme.

Post a Comment

  1. mambo vp kaka mbona kimya kingi?
    halafu mbona picha zile hujanitumia ndugu yangu kwema lakini usisahau kwamba msaada wako unahitajika sana ili niweze kufikia malengo mkuu mbona unanitupa kihivyo poa kazi njema

    ReplyDelete
  2. safi sana kaka kazi inaonekana kaza msuri

    ReplyDelete