MWANDISHI WA HABARI WA KITUO CHA TELEVISHENI CHA CHANEL TEN CHA IRINGA AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOANI IRINGA (IPC)AMEUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA ASKARI POLISI, WAKATI POLISI WALIPOKUWA WALIPOFYATUA MABOMU WAKATI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).CHAMA HICHO KILIKUWA KATIKA HARAKATI ZA KUFUNGUA TAWI KATIKA KIJIJI CHA NYORORO WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA.TAARIFA ZAIDI ZA TUKIO HILI ENDELEA KUFUATILIA MTANDAO HUU.. | | |
Post a Comment