MEYA WA JIJI LA MBEYA ATHANAS KAPUNGA:''Kuanzia sasa ushuru wa sh. 58,000 usitishwe, maana naona unatishia amani na utulivu wa jiji letu'' |
EMANUEL MBUZA: ''Nipeni nafasi ya kujieleza mbona hamnipi haki yangu'' |
MEYA WA JIJI: ''Hapana hapa sheria lazima ifuatwe tutafute utaratibu mzuri wa ukusanyaji ushuru usiwe kikwazo kwa wafanyabiashara'' |
MBUZA; ''Naomba na mimi niseme angalau kidogo!! kuhusiana na suala hili! mbona mnaninyima chance'' |
MBUZA ALIPATA NAFASI YA KUFUNGUKA MBELE YA WANAHABARI NA KUELEZA KUWA AMETUHUMIWA KWA MENGI LAKINI WENYE MATATIZO NI HALMASHAURI YA JIJI KUTOWEKA BAYANA SHERIA ZA UKUSANYAJI USHURU. |
VIONGOZI WA CHAMA TAWALA NAO WALIKUWEMO NDANI YA NYUMBA KUWEKA BAYANA SERA NA ILANI ZA CHAMA KUHUSIANA NA UTOZAJI WA USHURU. |
KAPUNGA: ''Hapa lazima tutumie busara maana hawa jamaa wamechachamaa vinginevyo itatuletea tabu hata kwenye vikao vya chama tawala''. |
MBUZA; Sumatra ndio tatizo kubwa katika sekta ya usafirishaji. |
''Hili lazima tuliweke sawa mie nalaumiwa bure wakati wenye makosa ni Jiji wenyewe.'' |
Post a Comment