Ads (728x90)

Askari wa kikosi cha FFU wakiendelea kuranda mitaani kuhakikisha hali ya usalama inarejea katika mitaa ya soko la Mwanjelwa na SIDO jijini Mbeya

Maduka yaliendelea kufungwa huduma muhimu kwa mahitaji ya wakazi wa Jiji la Mbeya ziliendelea kusimama kwa siku ya pili mfululizo
Hatimaye gari la upupu lililazimika kutumika kuwatawanya wafanyabiashara walioendelea kukaidi amri ya jeshi la Polisi kuwataka watawanyike
Askari wa FFU wakiwa tayari kukabiliana na vurugu zozote




Post a Comment