Hili sio handaki ni shimo linalohifadhi maji machafu kutoka katika choo kilichopo uwanjani humo ambacho huhudumia watazamaji 20,000 |
Kumradhi wasomaji hii ndiyo hali halisi ya uwanja tusipofanya hivi hawawezi kuuboresha, tunachojiuliza mapato yanafanya kazi gani |
Hili sio jalala la taka bali ni moja ya eneo lililopo katika uwanja wa Sokoine. |
Dimba la Sokoine linavyoonekana katikati |
Hiki ndicho choo kinachotumika uwanjani |
Mifereji ya maji machafu inatiririka kila kukicha nje ya uwanja huo na kutishia afya ya wakazi waishio katika vyumba vya uwanja huo. |
Vipo pia vichaka ambavyo wahuni wanaweza kutumia kwa ajili ya kujificha kabla ya mechi |
Moja ya mageti ya kuingilia uwanjani upande wa mashariki ya uwanja |
Mashabiki wakiwa wameketi katika moja ya majukwaa ya uwanja huo baada ya kulipa viingilio |
Mashabiki wakishangilia moja kati ya mechi katika uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya |
Sehemu ya umati wa watazamaji wanaoingia uwanjani kushuhudia mechi za Ligi kuu |
Umati wa watazamaji wanaoingia kwa ajili ya mechi kubwa katika uwanja huo |
Vitega uchumi vinavyouzunguka uwanja huo |
Lango kuu la kuingilia uwanjani ambalo hutumika pia kwa ajili ya magari |
Baadhi ya nyumba za biashara zinazozunguka uwanja ambazo ni sehemu ya mapato ya uwanja huo |
Shimo la maji machafu, mbele ni choo ambacho kinachokidhi watazamaji 20,000 wanaoingia uwanjani |
Post a Comment
Post a Comment