|  | 
| Safari iliendelea na kupita Mikumi National Park kwa kusindikizwa na askari wa Wanyama Pori wa hifadhi ya Mikumi. | 
|  | 
| Askari wa kituo cha Mikumi walipata fursa ya kuburudika kwa mbwembwe za uendeshaji wa Baiskeli kutoka kwa wapanda Baiskeli hao. | 
|  | 
| Walifika Morogoro na klupata fursa ya kuhojiwa na Kituo cha Televisheni ya Taifa TBC juu ya safari yao ya Kumpongeza Rais Kikwete kutimiza miaka 10 ya Uongozi wake. | 




Post a Comment