|  | 
| Kitabu maalum cha wapanda Baiskeli kutoka Mbeya ambacho atakabidhiwa Rais Jakaya Kikwete baada ya kukamilisha safari yao km 830 kutoka Mbeya hadi Dar es salaam | 
|  | 
| Mmoja wa wapanda Baiskeli akionesha mbwembwe za uendeshaji wa baiskeli kabla ya kuanza safari mbele ya Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro | 
|  | 
| Wapanda Baiskeli wakianza safari ya kuelekea Dar es salaam kutokea Mbeya wakiadhimisha kauli mbiu yao waliyoiita Asante JK kumaliza miaka 10 | 















Post a Comment