Mambo vp bwana kaka? Habari za Mbeya? Poleni sana kwa kuwa gizani siku zote hizi. Nimeifurahia blog yako. Ahsante sana kwa kutushirikisha fikra zako. Upatapo nafasi, karibu sana uzuru blog yangu yenye mashairi yanayogusa mustakabali wa maisha yetu. Karibu sana. Mpe salamu zangu bw. Patrick Kossima, mwambie afungue blog kama hana. Mwambie salamu zatoka kwa mdogo wake aliyekuwa akifanya kazi hapo SPW, ataelewa. Pia napenda kukutakia kazi njema.
Shukrani ndugu yangu,kutembelea blogu yangu, kumbe wewe ni mwenzangu kwa mashairi ndugu yangu.Nitakutembelea nipe basi Blogu yako inaitwaje.Nitamsalimia Paty tena jana kulikuwa na Event kubwa ya SPW pale TAZARA nikijaaliwa nitapandisha picha za event hiyo very Interested, zaidi ya wanafunzi 5000 waliungana na wanafunzi wenzao wa nchi 19 live
Kaka, Nafurahi kuwa nawe unapenda mashairi. Mashairi ndo njia niliyoipenda katika kuifikishia ujumbe hadhira. Karibu sana katika www.fadhilimshairi.blogspot.com Nilisikia juu ya tamasha hilo la SPW. Wafikishie pongezi zangu nyingi mno. Nilipokuwa nikifanya kazi hapo nilizoeleka zaidi kwa jina la Ras. Nimewahi kutana nawe katika matukio yetu ya elimu ya afya. Ntafurahi sana kuziona picha hizo. Mpe salamu sana Patty, msisitize afungue blog. Mwambie ni ujumbe toka kwa mdogo wake. Nimepamiss sana Mbeya, Mungu akipenda ntakuja huko wakati wa sherehe za mwisho wa mwaka. Ahsante sana. Alamsiki.
Mambo vp bwana kaka?
ReplyDeleteHabari za Mbeya? Poleni sana kwa kuwa gizani siku zote hizi.
Nimeifurahia blog yako. Ahsante sana kwa kutushirikisha fikra zako.
Upatapo nafasi, karibu sana uzuru blog yangu yenye mashairi yanayogusa mustakabali wa maisha yetu.
Karibu sana. Mpe salamu zangu bw. Patrick Kossima, mwambie afungue blog kama hana. Mwambie salamu zatoka kwa mdogo wake aliyekuwa akifanya kazi hapo SPW, ataelewa.
Pia napenda kukutakia kazi njema.
Shukrani ndugu yangu,kutembelea blogu yangu, kumbe wewe ni mwenzangu kwa mashairi ndugu yangu.Nitakutembelea nipe basi Blogu yako inaitwaje.Nitamsalimia Paty tena jana kulikuwa na Event kubwa ya SPW pale TAZARA nikijaaliwa nitapandisha picha za event hiyo very Interested, zaidi ya wanafunzi 5000 waliungana na wanafunzi wenzao wa nchi 19 live
ReplyDeleteKaka,
ReplyDeleteNafurahi kuwa nawe unapenda mashairi. Mashairi ndo njia niliyoipenda katika kuifikishia ujumbe hadhira. Karibu sana katika www.fadhilimshairi.blogspot.com
Nilisikia juu ya tamasha hilo la SPW. Wafikishie pongezi zangu nyingi mno. Nilipokuwa nikifanya kazi hapo nilizoeleka zaidi kwa jina la Ras. Nimewahi kutana nawe katika matukio yetu ya elimu ya afya.
Ntafurahi sana kuziona picha hizo. Mpe salamu sana Patty, msisitize afungue blog. Mwambie ni ujumbe toka kwa mdogo wake.
Nimepamiss sana Mbeya, Mungu akipenda ntakuja huko wakati wa sherehe za mwisho wa mwaka.
Ahsante sana.
Alamsiki.
Nimekuona kijijini kwake Fadhy name nimeona nipite kukusalimu. karibu Ruhuwiko kijijini kwangu.
ReplyDelete