Ads (728x90)

Huyu anatakiwa kuandaliwa maisha bora kwa kupewa elimu yenye manufaa itakayomsaidia katika cku zake za usoni,wagombesa urahisi wanalo jukumu kubwa kujua aina ya maisha ya watu waishio vijijini kama wanapata elimu bora ama bora elimu, muda upi mtoto huyu atasoma ilhali mama yake mzazi muda huu yuko kilabuni kwa pombe za kienyeji

Post a Comment