Ads (728x90)


HII NDIO HALI HALISI YA NAMNA AMBAVYO UNAKUBALIKA KWA WAPIGA KURA, NI TATHMINI NDOGO TU UNAPASWA KUJIONEA KATIKA ZAMA HIZI ZA KIPINDI CHAKO CHA MWISHO WALA SI MZAHA NA WALA USIKUBALI KURIDHISHWA NA TAARIFA UZIPATAZO KWA WANAOKUTIP MAMBO YASIYO YA KWELI,
KAKA!!! HEBU KUBALI HUU UKWELI NA JARIBU KUCHUKUA KAMA CHANGAMOTO ZA KUIJENGA NCHI YETU YENYE UMOJA NA MSHIKAMANO, NA HII SI KWA JAMBO JINGINE NI KWA NIA YA KUANGALIA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU. UMEJIONEA WABUNGE LUKUKI WAWAKILISHI WA WANANCHI WAKIAMUA KUACHA VITI WAKISUSIA HOTUBA YAKO... NI TASWIRA KATIKA TAIFA HII,HAIJAPATA KUTOKEA TANGU UHURU, NI KULE VISIWANI ILITOKEA WAWAKILISHI KUSUSIA VIKAO WAKATI ULE NA MATOKEO YAKE HIVI SASA MAMBO YAMEKUWA SHWARI.

Post a Comment

  1. Salamu naona zimefika kwani siyo kawaida kwa kweli mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio haambiwi sikia

    ReplyDelete