Ads (728x90)

Post a Comment

  1. Ni kweli haya ndio maandalizi ya taifa la kesho lakini sio maandalizi ya viongozi wa kesho bali maandalizi ya wapiga kura mbumbumbu wa kesho. Viongozi wa kesho wanaandaliwa katika shule za wateule au za nje ya nchi. Kwa kifupi, maandalizi ya viongozi na wapiga kura mbumbumbu yanakwenda sambamba katika St. Mary na St. Katas' schools.

    ReplyDelete