Ads (728x90)

Post a Comment

  1. Kwa kweli anauzunisha anahitaji apate msaada,Walau baiskeli miguu mitatu! Mie binafsi naomba niwe wa kwanza kutoa mchango naomba nielekeze utaratibu gani niutumie kutuma mchango wahenga walisema "haba na haba hujaza kibaba" tushirikiane tumsaidie ndugu yetu huyu

    ReplyDelete
  2. Jamaa huyu anaitwa Uswege kwa sasa anaishi Jijini MBEYA katika kitongoji cha Soweto karibu na nyumba moja ya kulala inaitwa KANIKI LODGE,kwenye nyumba ya mtu anaitwa Kijombo, kama uko mbali na Jiji la Mbeya unaweza kufanya mawasiliano na Blog hii kwa namba zinazopita hapo juu na msaada wako utatangazwa wazi wazi kupitia blogu hii, MUNGU AKUBARIKI KWA KUGUSWA na hili jambo

    ReplyDelete
  3. Mr G ULINIPATIA NAMBARI YAKO YA SIMU BAHATI MBAYA JUZI NIMEPOTEZA CM NA NAMBA ZOTE ZILIZOKUWEMO HUMO ZIMEPOTEA NITASHUKURU KAMA NITAPATA TENA NAMBA YAKO.MWENYEZI MUNGU AKUFUNULIE ZAIDI NA ZAIDI

    ReplyDelete