BAADHI YA WANAHABARI WAKISHIRIKI KUSHUSHA JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMU KATIKA MAKAZI YAKE YA KUDUMU |
KATIBU MKUU WA CHADEMA DKT. WILBROAD SLAA AKISHIRIKI KATIKA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU KABLA YA KUZIKWA KIJIJINI KWAO BUSOKA ITETE RUNGWE |
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS KAZI MAALUMU NA MBUNGE WA JIMBO LA RUNGWE MASHARIKI PROF. MARK MWANDOSYA AKIWA NA MKEWE WAKATI WA MAZISHI YA DAUDI KULIA KWA PROF NI KATIBU MKUU WA CHADEMA DKT. SLAA |
WANAHABARI WAKIWA NA JENEZA LENYE MWILI WA MWANGOSI |
DKT SLAA AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI |
MCHUNGAJI WA KANISA LA KILUTHERI USHARIKA WA BUSOKA MATHAYO MWANTAMANIE AKISOMA IBADA KABLA YA MAZIKO |
PROF MWANDOSYA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WAKATI WAKATI WA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU MWANGOSI |
DKT SLAA |
MJANE WA MAREHEMU |
Post a Comment