Ads (728x90)

Wapanda Baiskeli wa Mbeya ambao walisafiri km 800 kwa baiskeli kutokea Mbeya hadi Jijini Dar es salaam kwa nia ya kukutana na Rais Kikwete kumpongeza kwa kutimiza miaka 10 ya uongozi wake wakiwa katika picha ya pamojaa na Rais Kikwete Ikulu jijini Dar es salaa.

Kiongozi wa wapanda baiskeli Wiseman Luvanda akimkabidhi Rais Kikwete tuzo maalumu ya pongezi

Rais Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Wiseman Luvanda mara baada ya kuwasili Ikulu.

Post a Comment