Ads (728x90)

Wapanda Baiskeli kutoka Mbeya wakiwa wamewasili Jijini Dar es salaam
Wakiwa wameshikana mkono kuonesha mshikamano na Umoja bada ya safari ndefu iliyochukua siku 8 kutokea Jijini Mbeya hadi Dar es salaam
Kiongozi wa msafara huo Wiseman Luvanda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam 
Baiskeli zilizotumika kwa safari zaidi ya km 800  kutokea Jijini Mbeya hadi Dar es salaam
Wapanda baiskeli kutokea Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Sadick na baadhi ya viongozi wa mkoa huo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akitoa nasaha kwa vijana hao baada ya kuwasili Jijini Dar es salaam 


Post a Comment