Ads (728x90)

WCS chini ya msaada wa USAID imedhamini na kuunga mkono jitihada za Chama Cha Waandishi wa Habari za Utalii an Uwekezaji Tanzania (TAJATI) na kudhamini safari ya wanahabari hao kutembelea Hifadhi ya Kitulo iliyopo Makete wilayani Mkoani NjombeBaadhi ya wanahabari wakiwa mbele ya bango linaloonesha Hifadhi ya Taifa ya Kitulo
Ardhi yenye kijani kibichi kuelekea wilayani Makete ilipo Hifadhi ya Taifa Kitulo

Mbunge wa Makete Dkt. Norman Sigalla akizungumza na wanahabari mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Makete


Mwenyekiti wa TAJATI Ulimboka Mwakilili akisalimiana na Mkurugenz wa Halmashauri ya wilaya ya Makete Francis Namaumbo walipofika kwenye ofisi za Halmashauri hiyo kwa ajili ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Kitulo.

Baadhi ya wanahabari wakifuatilia  kwa makini taarifa inayotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya MaketeMkurugenzi wa Halmashauri ya Makete Francis Namaumbo

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Makete Egnatio Mtawa

Waandishi wa Habari wana TAJATI wakiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa Halmashauri ya Makete mbele ya ofisini hizo walipotembelea mwishoni mwa wiki


Waandishi wa Habari wana TAJATI wakiwa kwenye ofisi za Hifadhi ya Taifa Kitulo

Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kitulo akitoa maelezo kwa waandishi wa habari waliotembelea hifadhi hiyo mwishoni mwa wiki.Picha ya pamoja kati ya wanahabari wana TAJATI na watendaji wa Hifadhi ya Taifa Kitulo kwenye ofisi za Hifadhi hiyo mwishoni mwa wiki


Mandhari nzuri ya kuvutia kwenye Hifadhi ya Taifa Kitulo

 
 
 
 


Matunda aina mbalimbali yanapatikana katika eneo hilo ambayo yanazidi kuongeza mvuto wa ardhi hiyo
     ,
Miundo mbinu ya kufikia katika Hifadhi ya Taifa ya Kitulo ni sehemu ya changamoto ambazo zinapaswa kutafutiwa ufumbuzi.

Post a Comment