
Endavyo nyuni mwituni, na kutambaa mitini, Rizikiye mdomoni,daima huithamini, Hujilia vya kondeni,vilivyosazwa na nyani, Kilio chake kide...
Burudika, Habarika, Elimika
Endavyo nyuni mwituni, na kutambaa mitini, Rizikiye mdomoni,daima huithamini, Hujilia vya kondeni,vilivyosazwa na nyani, Kilio chake kide...
Fasihi tunu adhimu, lugha njema kiswahili, Watumiao adimu, toka zama za awali, Hima enyi walimu,kuliangalia hili, Lugha hii kiswahili, za...
Nineneje nijivune,uneni naye Makene, Mtambaji wa karine,bloguni jivunia. Makene ni mtambaji, bloguni jivunia, Chakuvunia kipaji, fasihi...
Tamu ishindayo hamu, si tamu yenye ugumu, Ni tamu yenye nidhamu, iletayo balaghamu, Tamu ni tunu adhimu, na ladhaye ni adimu, Hizi ndo tu...
Na, Rashid Mkwinda. KWA muda mrefu kumekuwepo na ushirikiano baina ya vyombo vya dola, waandishi wa habari na wananchi na hivyo kuweka utatu...
Kilo chako ndicho, hicho sitarijie kisicho, Katu sikodoe macho,ukadhani ndicho hicho, Kwa macho utamanicho, kitakutoboa macho, Epuka njia...
Maisha ya binadamu hutegemeana kihali, kulingana na tofauti ya maisha kati ya mtu na mtu,uwiano wa kipato baina ya watu aina mbalimbali ni m...
Mara nyingi mwanadamu amekuwa akishindwa kukabiliana na mambo mbalimbali yanayomzunguka katika jamii kutokana kukosa kuhimili mikiki anuai y...