Ads (728x90)

MWILI WA GHADHAFI KAMA ULIVYOONESHWA NA KITUO CHA RUNINGA CHA CNN
 Taarifa zilizoujia mtandao huu muda mfupi uliopitaa ni kwamba Rais aliyetawala Libya kwa miaka 42 Moammar Ghadhafi amefariki dunia.
 Taarifa kupitia vituo mbalimbali vya Redio na Luninga vimeripoti kuwa wananchi katika mji mkuu wa Libya Tripoli wamekuwa wakisherehekea kufa kwa kiongozi huyo ambaye alikuwa ni mpinzani mkuu wa mtazamo wa nchi za Kimaghararibi.

Post a Comment