Ads (728x90)

(Mabaunsa wa Wanahabari walikuwa makini kuhakikisa kuwa hakuna rabsha inayotokea)
Hali ya Usalama kwa MSIMU WA WANAHABARI VIJIJINI ilikuwa shwari ulinzi binafsi uliimarishwa chini ya Vijana machachari miongoni mwa wanahabari ambao wamefunzu 'Sanaa ya Mapigano' waliweka ulinzi makini na wanahabari waliishi kwa amani na Utulivu walivyokuwa Kijijini huko Kalangali wilayani Chunya kilomita 3,000 kutoka Mbeya mjini.
(Hata Kijijini watu waliweza kuchat wakiwa ndani ya mahema yao)

(Tumekuwa tukikutana na wananchi wenye shida mbalimbali hasa akina mama)

(Wengine walitumia fursa hii kutoa neno la Mungu wakati wa safari ya kurejea mjini)

(Walilazimika kuvaa uhusika wa maisha ya watu wa Vijijini wanaofanya umachinga)
Baada ya ziara hiyo ya kijijini Wanahabari walipata fursa ya kurejea mjini wakiwa salama usalimini huku baadhi yao wakiwa wamebeba vifurushi kwa ajili ya familia zao mijini, ilikuwa ni ziara murua iliyojenga umoja baina ya wanahabari wenyewe na hata wadau wa habari waishio vijijini ambao mbali na kuipenda ziara hiyo baadhi ya wanahabari wamejikuta wakitamani kurudi tena kijijini na wengine nusura waachwe na gari wakati wa kurejea mjini.

Post a Comment

  1. Duh lakini huo umbali ulioweka hapo naona umekosa sana tu...Chunya - Mbeya mjini ni km 3000? Please please please ....

    ReplyDelete
  2. SISI HATUKUWA CHUNYA TULIKUWA LUPA TINGATINGA AMBAYO IKO WILAYANI CHUNYA NI MPAKANI MWA WILAYA YA CHUNYA NA MKOA WA TABORA

    ReplyDelete