Ads (728x90)

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akimpokea Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara alipowasili uwanja wa ndege wa Mbeya leo asubuhi.
 Mkuu wa shule ya sekondari ya Wazazi Meta Renatus Njegite akimkaribisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda katika shule yake leo asubuhi.
 Waziri Mkuu akipanda mti wa kumbukumbu katika shule ya sekondari ya Wazazi META
 Waziri Mkuu Pinda akizindua jengo la Maabara ya Kemia katika shule ya sekondari ya Wazazi meta leo asubuhi.
 Waziri Mkuu Pinda akimsikiliza mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya META katika maabara ya Kemia leo asubuhi.
 Waziri Mkuu Pinda akipata maelekezo kutoka kwa wanafunzi wa sekondari ya META katika chumba cha maabara ya Kemia.
 Waziri Pinda akisalimiana na wananchi alipowasili uwanja wa ndege Jijini MBEYA

Post a Comment