Ads (728x90)

BAADHI YA WAHITIMU SHAHADA ZA UFUNDI WA TAASISI YA SAYANSI MBEYA (MIST)WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI WA SAYANSI TEKNOLOJIA NA ELIMU YA JUU PROFESA MAKAME MNYAA MBARAWA LEO MCHANA



WAZIRI WA SAYANSI TEKNOLOJIA NA ELIMU YA JUU PROF.MAKAME MNYAA MBARAWA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA CHUO CHA (MIST) PROF JOSEPH MSAMBICHAKA NA VIONGOZI WENGINE WA CHUO HICHO  KWENYE MAHAFALI YA SITA CHUONI HAPO LEO MCHANA

WAZIRI WA SAYANSI NA TEKNOLJIA ELIMU YA JUUPROF.MBARAWA AKITETA JAMBO NA MKUU WA CHUO MIST PROF. JOSEPH MSAMBICHAKA LEO MCHANA



BAADHI YA WAHITIMU WA SHAHADA YA KWANZA NA YA PILI  WA MIST WAKIWA KATIKA UKUMBI WA NYERERE LEO ASUBUHI

WAZIRI WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA ELIMU YA JUU PROFESA MBARAWA AKIMALIZA KUWATUNUKU VYETI WAHITIMU WA CHUO CHA MIST LEO MCHANA

PROFESA MBARAWA AKIMTUNUKU CHETI MMOJA WA WANAFUNZI BORA WA KIKE KWA MASOMO YA SAYANSI


MKUU WA CHUO MIST PROFESA MSAMBICHAKA AKIZUNGUMZA WAKATI WA MAHAFALI YA SITA YA CHUO CHA MIST MAPEMA LEO ASUBUHI

MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIMSIKILIZA WAZIRI WA SAYANSI TEKNOLOJIA NA ELIMU YA JUU PROFESA MBARAWA ALIPOTEMBELEA TAASISI YA SAYANSI NA ELIMU YA JUU MIST LEO ASUBUHI









PROFESA MBARAWA AKITOA UFAFANUZI JUU YA JAMBO ALILOLIONA ALIPOTEMBELEA KATIKA MABWENI YA TAASISI YA SAYANSI MIST










PROFESA MBARAWA AKIZUNGUMZA WAKATI ALIPOTEMBELEA MOJA YA MITAMBO NA MASHINE ZILIZOPO KATIKA TAAISI HIYO LEO ASUBUHI




Post a Comment