Ads (728x90)

Nimesoma katika gazeti hilo hapo juu, nimeona Waziri wa Habari Utamaduni na Vijana ametunukiwa shahada ya Daktari wa Filosofi(PhD) katika chuo Kikuu cha Mzumbe, Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chuo cha Mzumbe Rainfrida Ngatunga ni kwamba Dkt Nchimbi amekuwa ni miongoni mwa wahitimu saba waliotunukiwa shahada hiyo ya uzamivu.

Post a Comment