OFISA HABARI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TULIZO KILAGA AKIFAFANUA JAMBO KUHUSU ZIARA YA WANAHABARI KATIKA KIMONDO |
KIBAO KINACHOELEKEZA KILIPO KIMONDO KUTOKA BARABARANI KIJIJI CHA NDOLEZI WILAYANI MBOZI |
WANAHABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI WAKIONGOZWA NA OFISA HABARI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TULIZO KILAGA (MWENYE KAMERA)WAKIELEKEA KWENYE KIMONDO |
KIMONDO CHENYEWE NI HIKI KINADAIWA KUONEKANA MWAKA 1930 NA KUINGIZWA KATIKA MAMBO YA KALE MWAKA 1931 |
MHIFADHI MKUU WA MAMBO YA KALE FILMERICK BASANGE AKIELEZEA HISTORIA YA KIMONDO HICHO KWA WANAHABARI WALIOTEMBELEA |
MHIFADHI MKUU WA MAMBO YA KALE FIMERICK BASANGE AKIONESHA ENEO AMBALO KIPANDE CHA JIWE LA KIMONDO KILIKATWA NA KUPELEKWA KUFANYIWA UTAFITI |
|
Teh, teh, Mmependeza jamani dah!especially picha tatu za mwisho!
ReplyDelete