|  | 
| Blogers kutoka kushoto ni Christine Sintah wa sintah.com, Jestina George wa jestinageorge.com,Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu Blog na Othuman Michuzi wa Michuzi Media Group | 
|  | 
| Blogers sintah.com,mkwinda.blogspot.com na jestinageorge.com | 
|  | 
| Mkurugenzi wa Jamii Forums Maxence Melo akichangia jambo katika wakati wa mafunzo kwa Blogers wa Tanzania | 
|  | 
| Blogers Jestina George na Christine Sintah wakifuatilia mjadala wakati wa mafunzo kwa Blogers nchini | 
|  | 
| Blogers wa kike waliohudhuria mafunzo ya kwanza ya aina yake ya blogers yaliyotolewa na TCRA | 
|  | 
| Christine Sintah akifurahia cheti baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa TCRA Profesa John Nkoma mara baada ya mafunzo kwa blogers nchini | 
|  | 
| Jestina George akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa TCRA Profesa John Nkoma | 
|  | 
| Jeff Msangi wa Bongo Cerebrity, Othuman Michuzi wa Michuzi Media Group, Sufiani Mafoto na Joseph Lukaza | 
|  | 
| Lukaza katika pozi la kutafuta engo ya picha | 
|  | 
| Blogers katika mapumziko mafupi kabla ya Lunch | 
|  | 
| DJ Choka wa chokambaya blog,na Wakurugenzi wa Tone Media Group Fred Njeje na Joseph Mwaisango | 
|  | 
| kutoka kushoto ni Dotto Kahindi, Dj Choka, Fred Njeje na Joseph Mwaisango | 
|  | 
| DJ Choka, Jeff Msangi, Sufian Mafoto, Othman Michuzi na Joseph Mwaisango | 



Post a Comment