|  | 
| Katika hali isiyo ya kawaida mwanadada huyu alikutwa na kamera yetu mitaa ya Jijini Dar es salaam akihaha na mwanambuzi mgongoni huku mwanambuzi huyo akiliaaa meeee!!!! | 
|  | 
| Mwanadada huyo alilazimika kumbembeleza mwanambuzi huyo aliyekuwa akilia kwa sauti kiasi cha kuwashangaza wapita njia, jamaa mmoja alisikika akisema kuwa, Mwanambuzi Meee amlilima mamaye!!! | 





Post a Comment