|  | 
| Uzinduzi wa Ushirikiano wa timu ya FC Barcelona na Bia ya Castle Lager jijini Mbeya | 
|  | 
| Waendesha Bodaboda wakishiriki katika maandamano ya uzinduzi wa Ushirikiano wa Bia ya Castle Lager na Timu ya Barcelona jijini Mbeya | 
|  | 
| Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakishiriki maandamano ya Uzinduzi wa Ushirikiano wa Bia ya Castle Lager na timu ya Barcelona | 
|  | 
| Brass Band ya Jeshi la Magereza Kiwira ikiongoza maandamano ya uzinduzi wa Ushirikiano wa Bia ya Castle Lager na timu ya FC Barcelona jijini Mbeya. | 
|  | 
| Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bia ya TBL wakicheza muziki wakati wa uzinduzi wa Ushirikiano wa kinywaji cha Castle Lager na timu ya FC Barlcelona | 
|  | 
| Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakishiriki katika uzinduzi wa ushirikiano wa kinywaji cha Castle Lager na timu ya FC Barcelona katika nchi za Afika jijini Mbeya. | 
|  | 
| Kikundi cha sanaa kikitumbuiza wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wa kinywaji cha Castle lager na timu ya FC Barcelona jijini Mbeya | 

































Post a Comment