|  | 
| Msaka Nyoka alipita kila eneo na kila mahala, mtoni hadi vichakani hadi alipomnasa Nyoka huyo aliyekuwa akitishia usalama wa wakazi wa Jiji la Mbeya. | 
|  | 
| Mto Meta unaodaiwa Nyoka huyo aina ya Chatu kuwa makazi yake na familia yake. | 
|  | 
| Msaka Nyoka akiendelea na zoezi lake la kumsaka Chatu aliyetishia usalama wa wakazi wa Jiji la Mbeya | 
|  | 
| Msaka Nyoka na mwenzie wakiwa na Nyoka aliyekuwa anawatia hofu wakazi wa Jiji la Mbeya katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mbeya | 
|  | 
| Nyoka aina ya Chatu anayedaiwa kuwatia hofu wakazi wa Jiji la Mbeya baada ya kunaswa leo asubuhi | 


Post a Comment