| Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Coca Cola Kanda ya Mbeya Emmanuel Bunyoga akizungumzia ufadhili wa kampuni hiyo kwenye mashindano ya Mastala Cup. | 
|  | 
|  | 
| Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Mastala Cup, Brandy Nelson akielezea mkakati wa mashindano hayo. | 
|  | 
| Baadhi ya waandishi wa habari walioshiriki kikao kati ya Uongozi wa Kampuni ya vinywaji vya Cocacola na waratibu wa mashindano wakijitambulisha. | 
|  | 
| Ratiba ya Mashindano ya Ligi ya Mastala Cup | 






Post a Comment