|  | 
| Rais wa Chama cha Msalaba Mwekundu Dkt George Nangale akiwasili katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kwa ajili ya uzinduzi wa siku ya Msalaba mwekundu inayofikia kilele chake Mei 8 Jijini Mbeya. | 
|  | 
| Maandamano ya skauti na shule mbalimbali za sekondari yakiingia katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kwa ajili ya uzinduzi wa siku ya Msalaba mwekundu duaniani | 
|  | 
| Viongozi wa chama cha Msalaba mwekundu wakiwa wameshikana mikono kuashiria umoja na mshikamano | 
|  | 
| Maadhimisho ya siku ya Msalaba mwekundu yalizinduliwa kwa mchezo wa mpira wa miguu kwa wachezaji wa chini ya miaka 14 | 
|  | 
| Rais wa chama cha Msalaba mwekundu nchini Dkt George Nangale akiwa katika kikao na waandishi wa habari leo asubuhi katikia hotel ya Paradise Jijini Mbeya | 


























Post a Comment