Nyembo wapaswa sikia,kilio utajutia, Wanchi kavu malenga,majini hupotelea, Huwezi mkondo fata,MKWINDA kisha kimbia, Katu sumu si mezani, ma...
Fasihi (KIVANGAITO)
Fasihi (KIVANGAITO)
Burudika, Habarika, Elimika
Nyembo wapaswa sikia,kilio utajutia, Wanchi kavu malenga,majini hupotelea, Huwezi mkondo fata,MKWINDA kisha kimbia, Katu sumu si mezani, ma...
Ukitumika vyema, itaongoka jamii, Ikiwa bora kusema,yako huyazingatii, Insi watajalalama,Kwa kuikosa shafii, Mdomo wata kunena,yaso yako kun...
Kama mjali, wa taa, maisha yalivyo, Ni muhali, kukaa, vivyo ulivyo, Kwa kila uwakavyo, huisha vivyo. Maisha kama tambara, bovu, liishavyo, H...
Lilo ndilo silo hilo, bali silo ndilo lilo, Lilipo hufanywa ndilo, ijapo silo si mlo, Lile hasa liliwalo,hutazamwa kwa malolo, N'lilo m...
Chachandu iliyochacha, si chachandu chachizi, Huuchachuza mchicha,na kuchachiza mchuzi, Huchuruza kwe'pakacha,churuzo ya uchirizi, HUCH...
TA, TE, TI, TO, TU. TA:Nataataa na tata,watatue watatuzi, Sitati kimtang'ata, kwa tata za utatizi, Nitatapo Kimvita,watatwao watatezi, M...