''Wacha nikate kiu Bwana nani ananiona hapa kila mtu na time yake anafanya mambo yake ingekuwa kule uswahili nilikotokea du!!1 ingek...
Maisha ya Ikulu rahaaa!!!!
BABA:Wanangu mwayaonaje maisha ya hapa White House ni yanaweza kufanana na maisha ya kule wanakoishi akina bibi zenu na baba mzaa mimi? kule...
Maisha ya hapa kwetu
Hebu jaribu kulinganisha maisha haya na yale ya mwaka 1970 kama ulikuwepo chini ya jua hili kule kijijini kwako, yana tofauti gani?kwa taari...
Si kipenzi cha watu hata wanyama wamfurahia
Rais Barack Husein Obama pichani akifurahia maisha na mbwa wake Ikulu ya White House, maisha anayoishi mbwa huyu ni bajeti ya nchi yetu kwa ...
TAZAMA WAPIGA KURA WA MWAKANI HAWA
Haya ndiyo maisha!!! nilitembelea kijiji kimoja kipo hapa hapa nchini katika wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya , huko huduma ya maji safi na sa...
Zitto Kabwe alikotokea enzi hizo
Mwanaharakati Zitto Zuberi Kabwe enzi hizo mwaka 2001 akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu Dar es salaam(wa tatu kutoka kulia Menye suti nyeusi) h...
Wala si kivutio cha Kitalii
Mtoto huyu mwenye afya njema ana umri wa miaka mitatu anaishi katika kijiji cha Ukwavila wilayani Mbarali, aina yake ya mavazi yaliyomsitiri...
Tukio linalopaswa kukumbukwa na kurejewa
Ilikuwa ni siku ya furaha na faraja kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali ya wazazi META wakati wa siku ya 'MEDIA DAY', kundi la ...
Mzee wa Misifa Dully Sykes
Mzee wa 'Misifa' Dully Sykes akizungumza na Mzee wa Fasihi za Ufasaha wa (kwanza kushoto)juu ya mustakabali wake katika muziki na na...
Katibu Mstaafu CCM Mzee Mangula
Bloga Hawra Shamte wa mnyongemnyongeni.blogspot.com (wa pili kutoka kushoto)akiwa na Katibu mstaafu wa CCM Mzee Philip Mangula na Rais wa T...
Mazingira hatari nyuma ya shule
Huo ni mto uliopita kati kati ya jiji la Mbeya, na hapa ni nyuma ya shule ya Sekondari Mbeya maarufu kama 'Mbeya Day' na hizi zinazo...
Wanapendeza Eeehh!!!
Hawa ndio walikuwa baadhi ya wanyange wa Miss KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI wakiwa katika kambi ya kuwania nafasi hiyo jijini MBEYA ambao walis...
Hii ndio Telemka Tukaze
Wakumbuka aina hii ya Kitanda, nadhani vijana wengi wa sasa hawavijui aina hii ya vitanda vya ukambaa, hii ilikuwa ni kazi za mikono za maba...
Wajasiriamali
Vijana hawa wa Marasta wameamua kula kwa ujuzi wa kazi zao za mikono wapo nje ya uwanja wa mpira wa miguu Sokoine, bidhaa zao za vinyago huu...
Enzi zile kukutwa na Benrea ya Taifa NONGWA
Kwa enzi zile ukikutwa tu na Bendera ya Taifa ilikuwa nongwa, ajabu ni kwamba mataifa ya wenzetu yalikuwa yakitumia bendera zao kutangaza ut...
Kweli Bahari haifichi kitu
Nakumbuka maneno ya mtu mmoja aliwahi kusema kuwa siku zote kilichomo ndani ya bahari si haramu, aina yoyote ya kitu kisichotakiwa ndani ya ...
Wacko Jacko Wanted Muslim Burial
BY now you’re probably wondering what Michael Jackson’s been up to. Good to see that the news and broadcast media has been given the King of...
Maneno ya kifasihi(Maisha kama mjali wa Taa)
Kama mjali, wa taa,maisha yalivyo, Ni muhali, kukaa, vivyo ulivyo, Kwa kila uwakavyo huisha vivyo. Maisha kama tambara, bovu liishavyo, H...
Tumebaki yatima:Paris Jackson
Ilikuwa ni huzuni na majonzi mazito si tu kwa mtoto Paris Michael Jackson na wadogo zake Prince Michael na Michael II watoto wa hayati Wacko...
Du!!! Michezo mengine ya watoto?
Watoto hawa ambao hawakuweza kufahamika majina yao na mahala wanakotokea walikutwa na kamera ya blogu hii wakicheza mchezo huu wa aina yake ...
Watembea kwa mguu kilomita 30 kufuata matibabu
Wanafamilia hawa wa kijiji cha Isuto Mbeya vijijini wamelazimika kutembea kilomita 30 wakiwa na mtoto wao mgonjwa kwa ajili ya kumpeleka kat...
Kwa raha zake akiburudika
Hii ndio aina yake ya Burudani ya kinywaji mkazi huyu wa kijiji cha Masoko wilayani Rungwe akinywa pombe aina ya Kindi ambayo huuzwa lita mo...
Mauaji ya Mfanyabiashara Tunduma
Hii ndio bastola inayodaiwa kuwa ilitupwa na askari polisi eneo la tukio kuhalalisha kwamba marehemu alikuwa ni jambazi katika mauaji yanayo...