Ads (728x90)




Tumetoka mbali kweli, hivi mtoto huyu Sabrina Rashid(PICHA YA JUU) anatarajia nini juu ya maisha yake ya baadaye, nadhani fikra zake zote zinamuelemea mzazi wake ambaye anawajibika kwa hali na mali juu ya mustakabali wa elimu yake, chakula chake na malazi yake, ni muhimu kwa mzazi au mlezi kuitunza familia yake.

Elimu ni Dira, Elimu ni Taa, Elimu ni Ufunguo, Elimu ni Mwanga,Bila elimu ni madhara kwa jamii, uokovu wowote hupatikana kwa elimu, ambayo hukupa mwanga na kukufungulia mema katika maisha ya duniani na kesho Akhera.

Maandalizi ya elimu kwa mtoto ndiyo mwongozo wake akiwa hapa duniani hata kama mzazi atatangulia mbele ya Haki bali urithi Bora alioachiwa mtoto ni elimu.

Watoto hawa Mapacha wa Bloga Rashid Mkwinda, Rahma na Rahiymu wakiwa njiani kuelekea skuli.

Post a Comment

  1. mashaalah . allahu barik fikh!
    hakuna kitu mzazi atafanya kosa kama kumyima mtoto elimu ktk dunia hii,

    ReplyDelete
  2. Jazaallahu lkheir barakallah, Mola akujaze hikima na busara tele na akuzidishie kila lililo jema hapa duniani na kesho yaumi lqiyama.

    Aaamiyn

    ReplyDelete