Ads (728x90)



Mwanaharakati Zitto Zuberi Kabwe enzi hizo mwaka 2001 akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu Dar es salaam(wa tatu kutoka kulia Menye suti nyeusi) hapa alikuwa akitokea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kushughulikia kesi ya vijana, wanafunzi wa shule ya sekondari Iyunga kufuatia kifo cha mwenzao Michael Sikupya ambaye aliuawa mikononi mwa polisi, lilikuwa tukio lililovuta hisia za watu sana wakati ule, wa kwanza kulia mwenye tisheti ya njano ni mwandishi wa habari ambaye kwa sasa anaandikia gazeti la Mwananchi mkoani Mbeya Brandy Nelson,Zitto Kabwe kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ambaye Jumatatu ijayo anatarajia kuzungumza jambo kufuatia kitendo chake cha kuelezea kuwa maneno ya Waziri yalikuwa ni ya Ovyo Ovyo.

Post a Comment

  1. Kaka hongera sana kwa kuwa na maktaba kubwa ya picha kama umeweza kutunza picha kwa muda wote huo kweli wewe kiboko nakupa Big up sana huu ndio uandishi na kumbukumbu

    ReplyDelete