Ads (728x90)


Mambo yanazidi kupamba moto nchini Misri ikiwa ni siku ya nane ambapo wananchi wa Misri wakishinikiza kuondoka madarakani kwa Rais Hosni Mubarak ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30 tangu mwaka 1981,Pichani askari polisi wa nchini humo wakijaribu kuwatawanya wananchi kwa kutumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha.

Post a Comment

  1. Haya yanao tokea Misri, niya kweli kutoka kwa wananchi,na siyo wanasiasa ama vyama vya siasa.Lakujifunza hapo ni jinsi gani nguvu ya wana nchi ikiamua bila msukumo wa vyama au mwana siasa ,ina wezekana mabadiliko kutokea,na ndo maana hata jeshi lime tulia . tusifananishe na tanzania sisi kwetu ninguvu ya wachache ,wana jaribu kuwasemea wana nchi,ila kwa ajili ya faida zao.ni hayo tu. kaka s

    ReplyDelete