(KUMRADHI) TUMELAZIMIKA KUACHA BAADHI YA PICHA ZA AJALI HII KUTOKANA NA HALI HALISI YA KUTHAMINI UTU WA BINADAMU KWANI BAADHI YA PICHA HIZO ...
kukithiri kwa nondo Mbeya, askari polisi auawa kwa kupigwa nondo
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA BW.ADVOCATE NYOMBI AKITOA HESHIMA ZA MWISHO LEO ASUBUHI MBELE YA JENEZA LENYE MWILI WA ASKARI POLISI MESHAC...
SAKATA LA KUOMBWA RADHI WAZIRI NCHIMBI JUU YA KUKIMBIA NA SANDUKU LA KURA SONGEA
Waziri Emmanuel Nchimbi aombwe radhi kwa lipi katika sakata la uchaguzi wa meya Songea? Baada ya Jumamosi ya 24.9.2011 kuripoti kuhusu Emma...
DKT, MARY MWANJELWA MGENI RASMI MAHAFALI ILASI SEKONDARI MBOZI
Mbunge wa Viti maalum wa mkoa wa Mbeya Dkt.Mary Mwanjelwa akibadilishana mawazo na na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Mbeya mjini (CCM) Bw.Benson...
SHAMRASHAMRA ZA USHINDI WA UPINZANI NCHINI ZAMBIA
Na,Rashid Mkwinda,Isoka Zambia. MGOMBEA uchaguzi kwa chama cha Movement for Multpart Democracy (MMD)Bw.Rupia Banda amekubali kushindwa kat...
CHAMA TAWALA NCHINI ZAMBIA CHASHINDWA UCHAGUZI
VURUGU za hapa na pale huku raia wa nchini Zambia wakikimbilia nchini Tanzania katika mji wa Tunduma mpakani mwa Tanzania na Zambia ni sehem...
WAISLAMU WAIJIA JUU CHADEMA,WADAIWA KUUDHALILISHA UISLAMU
-NI KWA KUMVUA HIJAB DC -WATAKA WAWAOMBE RADHI WAISLAMU -KUANDAMANA NCHI NZIMA KATIBU MKUU WA SHURA YA MAIMAMU SHEKHE PONDA ISSA PONDA ...
Yemen unrest: Death toll from Sanaa clashes tops 50
Yemen uprising • Deadly game of elite brinkmanship • What Saleh's exit means for Yemen • Key players • Goodbye Yemen? Security for...
Watatu Kizimbani kwa kumdhalilisha DC Igunga
Watu watatu wakiwemo wabunge wawili wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya mkoa Tabora kwa ...
36 WASHAMBULIWA NA KUUAWA BURUNDI
36 WASHAMBULIWA NA KUFA NCHINI BURUNDI Watu wasiofahamika wamefanya shambulio na kuwaua watu 36 katika Klabu moja iliyopo eneo la Gatumba ...
MASALIA YA SOKO LILILOUNGUA JANA JIJINI MBEYA
BAADHI YA VIJANA NA WAHANGA WA SOKO LA SIDO WAKIJARIBU BAHATI YAO YA KUOKOA MALI ZILIZOSALIA BAADA YA SOKO HILO KUTEKETEA KWA MOTO JANA ASUB...
SOKO LA SIDO LATEKETEA KWA MOTO MBEYA
Hivi ndivyo linavyoonekana soko la SIDO wakati likiteketea kwa moto leo asubuhi Jijini Mbeya Ni tafrani wakati moto ukiteketeza Soko la SID...
KARIBU ABBAS KANDORO,KWAHERI JOHN MWAKIPESILE
KARIBU mkoani Mbeya Bw. Abbas Kandoro unahamia mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuendeleza gurumu la maendeleo ya Taifa letu,naamini hukufikiria k...
UPIGAJI NONDO WAKITHIRI,VIFO KILA KONA YA JIJI
Hali ya hatari na tahadhari imeingia miongoni mwa wakazi wa Jiji la Mbeya kufuatia matukio kadhaa ya upigaji nodno ambapo baadhi ya watu wam...