Ads (728x90)

Hiki ndicho choo wanachotumia wanafunzi wa shule ya msingi Mpakani iliyopo mjini Tunduma majaaliwa yao yakoje? wanasoma wakiwa wameketi sakafuni, Tunduma ni moja ya miji maarufu nchini kwa biashara kati ya Tanzania na nchi zilizopo kusini mwa Afrika, ni mji wenye msongamano mkubwa wa biashara.
Huenda watoto hawa ni wa wafanyabiashara wanasoma kwa kuketi chini,wanaweza kuwa wazazi wao ndio wamiliki wa maduka yanayozunguka katika mji maarufu wa Tunduma, wametelekezwa?serikali iko wapi mbona imewatelekeza watoto hawa?
Wanahitaji elimu bora

Post a Comment

  1. Serikali yetu haina aibu,inaangalia mambo ambayo kwa watu wengi hayaleti maendeleo.Utasikia tu wameuziana nyumba za serikali,vigogo wanakopeshwa mamilioni wafanye biashara,kufuturisha,ziara nyingi za kwenda nje etc.Kama kweli tunataka kujikwamua lazima tutafute mfumo mwingine wa kuongoza nchi.Sio misingi ambayo ilitufanya tudai uhuru ili tuwe na wizi,rushwa,unyanyasaji n.k

    ReplyDelete
  2. Dhamira zao hazilingani na utendaji wao, yaliyo moyoni hayafanani na vitendo

    ReplyDelete