TAARIFA ZA KUZAMA KWA MELI YA KAMPUNI YA SEAGUL, WAKAZI WADAR NA ZANZIBAR WAMEELEZEA TATIZO HILO KUWA NI KUKOSEKANA KWA UANGALIZI NA UKAGUZI WA MELI KABLA YA KUONDOKA NA HIVYO KUSABABISHA MADHARA.
UMATI WA WANANCHI WALIOKUWEPO KATIKA BANDARI YA DAR WALIONEKANA WAKIHAHA KUHANGAIKA KUTAFUTA USAFIRI WA KUELEKEA VISIWANI HUKU KUKIWA NA TAARIFA ZA SUMATRA KUZUIA VYOMBO KUSAFIRI KUTOKANA NA KUWEPO KWA HOFU YA KUZAMA KWA MELI.
MJINI UNGUJA WAKAZI WA MAENEO YA CHUMBWE NA WALE WAISHIO PEMBEZONI MWA BAHARI YA HINDI WAMEKUWA NA HOFU KUBWA JUU YA NDUGU ZAO WALIOSAFIRI KUTOKEA BARA HUKU, BAADHI YA WABUNGE WENGI WAO WAKITOKEA VISIWANI WAKIONESHA HISIA ZAO KWA KUTOKA KATIKA KIKAO CHA BUNGE KWA AJILI YA KUUNGANA NA WENZAO KATIKA KUOMBOLEZA MSIBA HUO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment